• Bidhaa Bora

    Nawashukuru sana Shopnet kwa kuwa bidhaa zenu zimebadili maisha yangu. Hakuna utapeli wala vitu feki. Nawaamini sana.

    - John Mwabupigu, Mbeya

  • Malipo baada ya Kupokea

    Sikuamini kabisa mliponiambia nitalipa pale tu nitakapoipokea bidhaa yangu lakini ni kweli buana. Ninyi ndo wauzaji bora zaidi wa mtandaoni.

    - Mary Masanja, Shinyanga

  • Usafirishaji bure

    Ahsante sana Shopnet kwa kuniletea mzigo wangu mpaka huku Bukoba bure kabisa na kwa wakati. Mmeniepushia matapeli na malipo ya usafirishaji aisee.

    - Byarugaba, Bukoba